Kigogo Media
Habari 100
MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI HISPANIA KUMWAKILISHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, leo tarehe 29 Juni 2025 amewasili nchini Hispania ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz ....
TUTAENDELEA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NCHINI-MAJALIWA
*Asema falsafa ya 4R ya Rais Dkt. Samia imekuwa msingi imara wa kulinda amani. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchi ....
BUNGE LARIDHIA MAREKEBISHO YA MPAKA WA HIFADHI YA TAIFA NYERERE.
Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka na kuwezesha shughuli za maendeleo kuendelea katika mazingira rafiki k ....
DODOMA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA USAFISHAJI WA SHABA
Dodoma ▪️Kiwanda cha Shengde chakaribia kuanza uzalishaji rasmi mwezi Julai Mkoa wa Dodoma unajiandaa kuandika historia mpya katika sekta ya usafishaji wa madini, kufuatia hatua za mwisho za uj ....
RAIS MWINYI AWASILI JIJINI DODOMA
Dodoma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma, ambapo amepokelewa na Mkuu wa Mkoa w ....