Biashara

News22 days ago

SERIKALI KUPITIA MFUMO WA BIASHARA NA UCHIMBAJI WA MADINI YA TANZANITE

▪️Rais Samia Apongezwa Kwa Kuelekeza Asilimia 10 ya mapato ya Sekta ya Madini kwenye utafiti wa kina wa madini ▪️Waziri Mavunde aelekeza nguvu ya Utafiti madini wa kina Mirerani ▪️Atoa wiki 2 kwa ....

News2 months ago

KIGOMA KUWA KITOVU CHA FURSA ZA BIASHARA BAADA YA UJENZI WA SGR TABORA–KIGOMA : RAIS SAMIA ABAINISHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ina nafasi kubwa ya kuwa kituo kikubwa cha biashara barani Afrika kutokana na rasilimali na fursa ilizonazo. ....

News2 months ago

WAZIRI MAVUNDE AANZA ZIARA RASMI KUKAGUA SHUGHULI ZA MAENDELEO NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI MKOANI GEITA*

▪️ Waziri Mavunde ni Mlezi wa shughuli za kimaendeleo mkoani Geita ▪️ Akagua mradi wa maji wa Bilioni 40 ambao utanufaisha watu 185,000 ▪️ Akagua mradi wa vijana wa ujenzi wa kiwanda cha kuchenju ....

Newsa year ago

TUMEDHAMIRIA KUWAINUA KIUCHUMI WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA

_▪️Asema Rais Dkt. Samia ni alama ya ukuaji wa Sekta ya Madini_ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imea ....

Newsa year ago

WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME

Tarime,Mara ▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000 ▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia ▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Viji ....

News2 years ago

KATIBU MKUU NDUNGURU ASISITIZA  MATUMIZI YA MFUMO WA BENKI MTANDAONI KATIKA AKAUNTI ZA VITUO VYA AFYA MSINGI 

Dodoma Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Adolf Ndunguru, amefungua mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Benki mtandaoni (Internet Banking) kwa akaunti za vituo vya kutolea huduma za afya msi ....

News2 years ago

SERIKALI YATOA LESENI KUBWA YA UCHIMBAJI MADINI YA KINYWE KWA EcoGraph

Tanzania •  Mradi wa Epanko Graphite Kuinufaisha Tanzania Kibiashara, Kiuchumi •  Kuchangia Zaidi ya Shilingi Trilioni 5 kwenye Pato la Taifa •  Tanzania kuwa Kiu ....

News2 years ago

NAIBU KATIBU MKUU MDEMU APONGEZA JITIHADA WANAWAKE KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Felister Mdemu amepongeza juhudi za wanawake katika kujikwamua kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbalimb ....

News2 years ago

RAIS SAMIA ATAKA WIZARA YA KILIMO KUNUNUA MPUNGA KWA BEI YA SHILINGI 900 KUTOKA 570.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Kilimo kupitia Wakala wa Uhifadhi wa Chakula (NFRA) kununua mpunga kwa bei ya Shilingi 900 kutoka 570 ....

News3 years ago

WARSHA YA UPANGAJI BAJETI UNAOZINGATIA USAWA WA KIJINSIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El- maamry Mwamba, amefungua warsha ya upangaji Bajeti unaozingatia usawa wa kijinsia wakati wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Usawa wa Kijinsia wa Kanda ya ....