Habari za Mikoani

News21 days ago

MAKAMU WA RAIS AWASALIMU WANANCHI WA JIMBO LA CHAMWINO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa dhamana ya kuwa msaidizi ....

News21 days ago

RAIS SAMIA AMTAKA MAKAMU WA RAIS KUTUMIKIA NCHI KWA UAMINIFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, kuitumikia nchi kwa utii, uam ....

News22 days ago

SERIKALI KUENDELEA KUHAKIKISHA VIJANA WANANUFAIKA NA FURSA ZA NJE YA NCHI NA ZENYE STAHA .

Akizungumza jijini Dar es Salaam Agosti 27,2026 wakati wa uzinduzi wa mkopo wa Ughaibuni Loan unaoratibiwa na Benki ya CRDB pamoja na kuwaaga vijana 130 kati ya 530 wanaotarajia kwenda kufanya ....

News22 days ago

RAIS SAMIA AZUNGMZA NA BALOZI WA MISRI ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sherif Ismail, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri anayemaliza muda wake nchini Tanzani ....

News22 days ago

BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Ndejemb ....

News22 days ago

SERIKALI KUPITIA MFUMO WA BIASHARA NA UCHIMBAJI WA MADINI YA TANZANITE

▪️Rais Samia Apongezwa Kwa Kuelekeza Asilimia 10 ya mapato ya Sekta ya Madini kwenye utafiti wa kina wa madini ▪️Waziri Mavunde aelekeza nguvu ya Utafiti madini wa kina Mirerani ▪️Atoa wiki 2 kwa ....

Newsa month ago

TUTUNZE MIRADI YA MAENDELEO KAMA TUNAVYOTUNZA MACHO YETU: RAIS .DKT SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Kizimkazi na maeneo jirani kutunza na kulinda miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali, akisisiti ....

Newsa month ago

TANZANIA NA UJERUMANI KUENDELEZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA KIMKAKATI

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani zimekubaliana kuendelea na kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, ikiwemo biashara na uwekezaji, afy ....

Newsa month ago

RAIS DKT. MWINYI: TAMASHA LA KIZIMKAZI LIMEENDELEA KUFUNGUA FURSA ZA UTALII, BIASHARA NA UWEKEZAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Tamasha la Kizimkazi limeendelea kuwa jukwaa muhimu la kutangaza utamaduni, utalii, biashara na fur ....

Newsa month ago

SERIKALI KUENDESHA OPARESHENI MAALUM YA UKAGUZI WA UTEKELEZAJI WA MIKATABA YA MSAADA WA KIUFUNDI

▪️ Lengo ni kuchukua hatua kwa wanaoitumia vibaya ▪️ Waziri Mavunde aelekeza RMOs kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ▪️ Mchango wa wachimbaji wadogo kwenye uzalishaji madini wakua ▪️ Kamati ya Bunge ....