Kigogo Media
Habari 100
MAKAMU WA RAIS AWASALIMU WANANCHI WA JIMBO LA CHAMWINO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa dhamana ya kuwa msaidizi ....
RAIS SAMIA AMTAKA MAKAMU WA RAIS KUTUMIKIA NCHI KWA UAMINIFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi, kuitumikia nchi kwa utii, uam ....
SERIKALI KUENDELEA KUHAKIKISHA VIJANA WANANUFAIKA NA FURSA ZA NJE YA NCHI NA ZENYE STAHA .
Akizungumza jijini Dar es Salaam Agosti 27,2026 wakati wa uzinduzi wa mkopo wa Ughaibuni Loan unaoratibiwa na Benki ya CRDB pamoja na kuwaaga vijana 130 kati ya 530 wanaotarajia kwenda kufanya ....
RAIS SAMIA AZUNGMZA NA BALOZI WA MISRI ALIYEMALIZA MUDA WAKE
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Sherif Ismail, Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri anayemaliza muda wake nchini Tanzani ....
BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Ndejemb ....






