Habari za Mikoani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa [...]
RAIS MWINYI AKUTANA NA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa M ....
WAKURUGENZI WAHIMIZWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA MIRADI
Bungeni, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali itaendelea kusimamia Halmashauri zote nchini ili ziweze kutimiza majukumu ya msingi ya kutumia mapato ....
ZINGATIAENI VIWANGO NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA – DKT MFAUME.
Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amewataka watumishi wa afya katika ngazi ya msingi kuzingatia ....
KIWANDA CHA NGUZO ZA ZEGE TABORA KUZALISHA AJIRA, KUKUZA UCHUMI WA NCHI – DKT. BITEKO
Dkt. Biteko aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Kiwanda cha Nguzo za Zege Awataka wananchi Tabora kutogawanyika wakati Uchaguzi Mkuu Asema maono ya Rais Samia ni viongozi kuwasaidia ....
RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KULETA SERIKALI KWA WANANCHI ILI KULETA MAENDELEO – MHE. MCHENGERWA
Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ....
SERIKALI INATHAMINI KAZI INAYOFANYWA NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA
Dar es Salaam WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inathamini kazi kubwa inayofanywa na sekta binafsi katika kuimarisha ustawi wa jamii nchini. Amesema hayo leo Ijumaa (Mei 02, 2 ....
RAIS MWINYI:TUSIMAMIE MALEZI NA MAADILI YA VIJANA NA WATOTO.
Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amezitaka familia kuweka dhamira ya Kusimamia Malezi ya Vijana na Watoto ....
SEKTA YA NISHATI IPO SALAMA CHINI YA RAIS SAMIA – DKT. BITEKO
📍Urambo, Tabora ▪️Akagua Kituo cha Kupoza umeme – Urambo ▪️Amshukuru mama Sitta kwa mchango wake katika mradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukur ....
MWENGE WAPITA MUFINDI, MRADI WA REA WA BILIONI 17 WAZINDULIWA
Mufindi – Iringa ▪️Rais Samia aipongeza REA utekelezaji miradi ya umeme vijijini ▪️Kiongozi wa Mwenge ahamasisha matumizi ya nishati safi na salama Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kita ....
HALMASHAURI ZATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA YA MAZINGIRA
Serikali imezitaka halmashauri zote nchini kuendelea kusimamia kikamilifu Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura 191 ili kuzuia uchimbaji wa mchanga kudhibiti kupanuka kwa mito huku ikiendelea ....