Siasa

News14 days ago

MAJALIWA: WANA-RUANGWA HATUNA DENI NA MHE. RAIS DKT. SAMIA

Ruangwa ▪️Asema ni kutokana na maendeleo yaliyopatikana kipindi cha uongozi wake MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Chama cha Mapinduzi, Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa am ....

News2 months ago

RUANGWA HATUNA DENI NA RAIS DKT. SAMIA-MAJALIWA

Narungombe,Ruangwa Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakazi wa Wilaya ya Ruangwa hawana deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia S ....

News3 months ago

WASIRA- VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VIENDESHWE  KWA KUZINGATIA MAHITAJI

Pwani MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu s ....

News3 months ago

RAIS MWINYI:UVCCM  ENDELEENI KUHAMASISHA VIJANA CCM ISHINDE NA KUSHIKA DOLA.

Zanzibar  Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza k ....

News3 months ago

RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

▪️Asema Rais Dkt. Samia amedhamiria kutekeleza na kukamilisha miradi yote ya kimkakati. ▪️Asema Rais Dkt. Samia ni kiongozi anayeona na kusikiliza matatizo ya watu. ▪️Asema CCM itaendelea kuwahud ....

News3 months ago

KWENYE URAIS TUMESHAMALIZA-MAJALIWA

_▪️Asisitiza Rais Dkt. Samia tunaye na tunaenda naye._ _▪️Asema Rais Samia ni mgombea aliyejipambanua kwa uhodari na uimara wake kiutendaji_ _▪️Amtaja Dkt. Nchimbi kuwa kiongozi mchapakazi na ana ....

News3 months ago

WASSIRA: “HAKUNA MWENYE UWEZO WA  KUAHIRISHA UCHAGUZI MKUU.”

Mwanza ▪️Wasira asema Uchaguzi Mkuu lazima ufanyike, Watanzania wajiandae ▪️Asisitiza wanaosema bila Katiba mpya hakuna uchaguzi wanajisumbua MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanza ....

News4 months ago

WASSIRA: GARI NI INJINI SIYO BODI.

Geita ▪️Asema Umri wake si hoja wakaulize  madaktari muhimbili Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewajibu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti wa chama hic ....

News4 months ago

MBUNGE UMMY MWALIMU ASHIRIKI  MKUTANO WA HADHARA WA MKOA TANGA KUUNGA MKONO MAAMUZI YA MKUTANO MKUU CCM TAIFA KUMPITISHA  DKT SAMIA KUWA MGOMBEA URAIS 2025

* Amesema kwa mambo makubwa ya maendeleo yaliyotekelezwa Tanga Mjini wanaunga Mkono Maamuzi ya Mkutano Mkuu kwa asilimia 100 na watampa Dkt Samia kura za kishindo Octoba 2025 * makundi ya wana ....

News4 months ago

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI

Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa kutembelea Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete ....