MATUKIO PICHANI IKIWA NI SIKU YA 45/60 YA KAMPENI ZA CCM, GEITA
Published on: 7 days ago

KATORO LEO
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Katoro katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Oktoba 13, 2025.

#KigogoMediaUpdates






Unataka kutuma habari? Submit on tuma kwetu kupitia info@kigogomedia.com au WhatsApp 07000000